Luke 7:36

Yesu Apakwa Mafuta Na Mwanamke Mwenye Dhambi

36 aBasi Farisayo mmoja alimwalika Yesu nyumbani kwake kwa chakula. Hivyo Yesu akaenda nyumbani mwa yule Farisayo na kukaa katika nafasi yake mezani.
Copyright information for SwhNEN